Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Indeed shemeji[emoji125] [emoji125] [emoji125]Naona nina watani wakutosha humu
Likes za hapa zina bei, mtafute myoyambendi au mzee wa liver wakupe thamani ya likes za hapaNimekuja kuchukua likes
Sijambo kabisa uniq.... tulikumiss pia babe S umemficha wapi?Mzima wewe. Kweli niliwamiss sana ndugu zangu humu ndani.
Kwakweli sijamuona nsamaka siku ya pili leo. mwenyezi mungu amfanyie wepesi apone harakaMwenzenu alikuwa mgonjwa jamani. Alisema atarudi tena Bugando wiki hii. Pengine kaelemewa huko aliko. Tumuombee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa ameokoka, ameachana na hayo mamboUnakatafuta ka nini haka kajamaa kaharibifu ka mazizi ya watu? Si ajabu kameelemewa na mamitihani huko kaliko. Kaache kapambane huko !!!
praudili chagga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Si kwa zigo hili[emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee! Walugaluga? Zamani kulikuwa na afande anaitwa mlugaluga,akiwepo uwanja wa taifa bora urudi nyumbani kama ulitegemea kuruka ukuta
Ina maana sisi ni wanoko kiasi hicho?
Andaeitini tengua kauli hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]