uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Nipo poa. Missing UYaani wewe[emoji23][emoji23]
Habari yako
Nipo poa. Missing UYaani wewe[emoji23][emoji23]
Habari yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee! Walugaluga? Zamani kulikuwa na afande anaitwa mlugaluga,akiwepo uwanja wa taifa bora urudi nyumbani kama ulitegemea kuruka ukutaKwa ajili ya hawa Walugaluga wa humu, andjul na SYB! Wananipiga vita sana humu, na mimi nasema hivi, haondoki mtu hapa! Hujambo lakini, carb! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3]bila mwizi magereza watapunguzwa..
uchawi ni fursa kwa waganga....japo wanatapeli wengine
Pambana mama,zama zimebadilika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nitafanyaje sasa na hela naitaka[emoji22][emoji22]
Halafu si ulisema najilipia mwenyewe acha nisake hela kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Heee jamani, kumbe siyo mkibosho,. Samahani shemejiNajua sana tuu japokuwa sio mkibosho mie
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] misamaki ya pwani isha kuharibu wewe.Mama ni yule aliyekuzaa, mdogo wake na dadake, waliobaki ni haki yako kusifia ukubwa wa makalio yao[emoji3] [emoji3]
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] hakuna tatizo shemejiHeee jamani, kumbe siyo mkibosho,. Samahani shemeji
Pupil[emoji122] [emoji122] [emoji122] welo kamu bakiAndjul
Abee shemeji yangu mpareeeMamaaa Jakitooo