Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Ni wewe huyu mkuu??
Ni wewe huyu mkuu??
Ha ha ha ha haMkuu usimsumbue kijana wa watu, khaaa. Keshasema anaogopa jina lako bado unamsonga kwa maswali tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuokoka ni matendo siyo maneno. Kameokoka lakini bado kanatembea na tani kadhaa za maua kugawia wake za watu na michombezo kadhaa juu yake. Wokovu wa aina gani huu? Hatudanganyiki !!!Sasa ameokoka, ameachana na hayo mambo
Powa kabisa. Sema wewe!!!Hope wote mko fine
Msalimie sana [emoji5] [emoji5] [emoji5]Tulikuwa safari tumerudi leo. Kesho tunakwenda Tanga. Ka Babe S kanadeka tu hapa.
Hahahaha Rutaaaa
Yegomasika, karibu mlokole wetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shemeji.Si kwa zigo hili[emoji134]