Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Miafrika ndivyo tulivyo !!!
By. N. Ngabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miafrika ndivyo tulivyo !!!
Ninajua Kisukuma shemeji zangu mnakuja wenyewe kuchukua mahari. Nimesubiri hamtokeiToa mahari sasa ohooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna nauliza tuRingson, acha ukorofi bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106]Usipende kupokea likes BURE!! Toa nawe upewe..
Kwa kila postlikes kwa likes
Sijambo wifi... karibu tenaAsante jakitoo nimezipata, mzima we
...!?
Pole na uchovu wa safariHello babe!!!
Teh teh tehMiafrika ndivyo tulivyo !!!
Ulisema una tung'ombe tuwili. Tulikuwa tunasubiri angalau tuongezeke ongezeke kidogo tufike hata 10 hivi. Usije tu ukatuletea ujanja wa kutudhulumu kama Andjul alivyotufanyia kwa Nsamaka. Ndo maana hata ndoa yake imeyumba sana!!!Ninajua Kisukuma shemeji zangu mnakuja wenyewe kuchukua mahari. Nimesubiri hamtokei
Tupo karibu babeHello humu!?
Chemical formula yetuTOA LIKES KWENYE POSTI
LIKES NAWE UPATE LIKES
Hahahahah hii kali!!!
Chemical formula yetuLIKES KWA LIKES
Ahsante kwa kutambua uwepo wa chama chetu,ambacho katibu wake ni SYB [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Abeee shemeji yangu.... mambo
Babe S dada yajo Jakito anakutafutaHello humu!?
20:0410:32