mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Niambie mkuu cha KingstonShwari mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Niambie mkuu cha KingstonShwari mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kuokoka ni matendo siyo maneno. Kameokoka lakini bado kanatembea na tani kadhaa za maua kugawia wake za watu na michombezo kadhaa juu yake. Wokovu wa aina gani huu? Hatudanganyiki !!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sijui carba kalitoa wapi! Maana alikuwa anajibu "mtaka cha uvunguni...''[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maana ya yale maneno, maeneo ya huku kwetu ni matusi mabaya
Aisee namkubali sana huyu jamaaIsaac Newton – IQ level: 192
![]()
[emoji5] [emoji5]Asante sana wifi.....
Kwa kweli... asante we! Safari ilikua nzuri ila gharama ya uchovu si ya kitoto! Pole piaPole na uchovu wa safari
Tuko poa, vipi mlishamaliza mitihani au...Hodi humu ndani. Hope wote mpo poa. Salamu kwenu wote
Hahahahaha! [emoji54][emoji54][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulisema una tung'ombe tuwili. Tulikuwa tunasubiri angalau tuongezeke ongezeke kidogo tufike hata 10 hivi. Usije tu ukatuletea ujanja wa kutudhulumu kama Andjul alivyotufanyia kwa Nsamaka. Ndo maana hata ndoa yake imeyumba sana!!!
Asante Ruta! Za wewe!?Tupo karibu babe
Na kwako piaAlhamisi njema
Nimemsoma....ni wifi piaBabe S dada yajo Jakito anakutafuta
20:1111:47
Mwanafunzi usipende kutembelea majukwaa haya nyakati za usiku. Hapa hapakufaiDogo Moudgulf
Kama ni 20 basi hakuna neno. Kweli unampenda dadetu. Mpare kutoa ng'ombe 20 yaani siamini. Kufika Oktoba katikati tegemea ugeni wa heshima. Asante sana shemejiNg'ombe wenu kama nakumbuka mlipokuja kuchagua walifika 20. Hao wawili ni wapi?
Kwa kila postlikes
20:1211:55