Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulisema una tung'ombe tuwili. Tulikuwa tunasubiri angalau tuongezeke ongezeke kidogo tufike hata 10 hivi. Usije tu ukatuletea ujanja wa kutudhulumu kama Andjul alivyotufanyia kwa Nsamaka. Ndo maana hata ndoa yake imeyumba sana!!!
Ng'ombe wenu kama nakumbuka mlipokuja kuchagua walifika 20. Hao wawili ni wapi?
 
Back
Top Bottom