Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Canada nao wana jeshi la maana? Nawaonaga wapole tu hawana mkwara na mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Canada nao wana jeshi la maana? Nawaonaga wapole tu hawana mkwara na mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeee shemeji yangu.... mambo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shemeji.
Kuoa siyo lelemama. Muulize singo faza atakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Ndio maanaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raba/kandambili unazivaa mikononi.Maisha yale yaache yapite tuHahaa, nyinyi ndio mlikuwa mnaruka ukuta? Mnapanda watu kama ishirini hivi, mkishakaa juu ya ukuta mnahesabu moja mpaka tatu halafu wote mnarukia ndani ya uwanja kwa pamoja! Humo ndani sasa, kila mtu anakimbia kivyake! [emoji23][emoji23][emoji23]
ZimefikaMsalimie sana [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Jamaniiiiiiiiii !!!!
Maana ya yale maneno, maeneo ya huku kwetu ni matusi mabayaMkuu toa maana yake,silielewi ujue?
KabisaHaha..ndugu, mheshimiwa nyalandu ni tofauti na wehu wengine, kwanza ni msomi na zaidi ana hofu ya Mungu.
Toa mahari sasa ohooo !!!Tulikuwa safari tumerudi leo. Kesho tunakwenda Tanga. Ka Babe S kanadeka tu hapa.
Hello babe!!!Zimefika
Ringson, acha ukorofi bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe huyu mkuu??
Asante jakitoo nimezipata, mzima weMsalimie sana [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Canada nao wana jeshi la maana? Nawaonaga wapole tu hawana mkwara na mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]