Mbowe na YMCA kote kote nilivuruga. lakini pamoja na undugu wetu, michezo yako sikubaliani nayo hasa unapo mfuatilia nsamaka. Ukitaka nikupe sapot kwa lolote usign mkataba kutomfuatilia nsamaka, kwamba kila utakapomuona umuheshimu kwa niaba yangu. Na pia unisaidie kwenye harakati zangu za kumuondoa tukuyu kumleta dar, ukiyakubali hayo mi nitakusaidia lolote hapaYaani hata wewe ndugu yangu unaninanga? Tumecheza wote toto disco Billicanas, au ulikuwa unakimbilia kule YMCA kwa yule muuza bangi kuo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata wewe ndugu yangu unaninanga? Tumecheza wote toto disco Billicanas, au ulikuwa unakimbilia kule YMCA kwa yule muuza bangi kuo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli lakiniYou never know! Inabidi tu uwe muwazi wote wakuelewe! Unaweza kustukia mtu amekununia hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]subiri aamke huko aliko
Kwahiyo samaki wa maji chumvi hauli wewe?Walaaa hata!sema tu si mpenzi wa hivyo vitu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tafuta kifutio, tukimaliza kuchat unafuta yote wasiyaone! Ila hisia zangu kama yule vaisi chea mnoko yupo kabana sehemu! [emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]1. Kuchangamka Kwa Ubongo,Yaani Akija Anayekudai Unakuwa Umeshaandaa Majibu Mazuri Ya Kumpa Na Anaondoka Akitabasamu Bila hela