Duuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]2. Kuwa Na Akili Nyingi, Maana Madeni Humfanya Mtu Aishi Kwa Wasiwasi Na Kama Mnavyojua Wasi Wasi Ndo Akili..
Teh teh teh3. Mazoezi Ya Viungo, Anayekudai Atajifanya Akulie Timing Saa Kumi Na Moja Alfajiri Kumbe Wewe Ushaaplan Utoke Saa Kumi Kumkimbia
Ahahaa[emoji3] [emoji3] kaazi kwelikweli4. Madeni Huzuia Sound Pollution. Yaani Hata Kama Umelewa Na Ulikuwa Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Tu Unanyamaza Automatic Na Hata Ukifika nyumbani Pia Majirani Zako Wanapumua Maana Huwashi Kile Ki - Sabuufa Chako Pasua kichwa..
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]5. Kupungua Ama Kuzorota Ķwa Kitambi, Anayekudai Akikusakama Sana Nayo Sometimes Inapelekea Kuyeyuka Kwa Mafuta Yazungukayo Tumbo Hivyo Kiafya Unatengemaa..
Sawa, niazime alfu 15 hapoTukope jamani kudumisha afya zetu
Masharti magumu
Vaisi Chea Mnoko yupo anakuchechi huku kakunja ndita balaa...
Ukiendelea kukaa mbali na bebi wangu...
Utaishi kwa raha sana katika uzi huu...
Ukuda, unoko na urugaruga wangu kamwe hutauona....
Vinginevyo utaendelea kuishi hivi hivi ka digi digi...
Mi namletea kitu live toka Dar achana na za kinigeriaNaona unashindana na mista vaisi cheamani wa CHAUMITA
4:58Hulali??