Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DALILI HIZI NI HATARISHI UKIZIONA ,WAHI KITUO CHA AFYA.
:Chupa ya maji ikipasuka ukaona rangi ya kijani au brown ni hatari ,inaweza ikawa mtoto kajisaidia inaitwa iyo hali huitwa ”Meconium” ,huwa inatokea kwa wale wamama waliopitiliza siku zao kujifungua.
 
Ukisikia kizunguzungu,maumivu ya kichwa na kuvimba kwa mikono au miguu wahi hospital iyo ni dalili ya kifafa cha uzazi.



:Chupa ya maji ikipasuka kabla ya uchungu au dalili yoyote ya kujifungua usikae nyumbani zaidi ya masaa 5-6,
 
mtoto atakuwa kwenye hatari ya kupata infection kupitia njia ya uzazi au kitovu kuhamishwa toka sehemu husika na kushindwa kumpelekea mtoto hewa ,ikamsababishia kifo au matatizo ya ubongo wahi kituo cha afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…