Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We si ilinikimbia?subiri alete maua uone ntakavyo yapokea[emoji57][emoji57]

IMG_2161.jpg

[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kiafya binadamu utunatakiwa kunywa glasi 7-8 kwa siku ni muhimu kwa afya zetu.Watu wengi hawaju kama kunywa maji asubuhi pale uamkapo ni kinga moja kubwa mwilini..Tiba hii huu unaitwa Ayurvedic treatment inafaida nyingi ya kukuepusha na maradhi.
 
sehemu kubwa ya mwili wa mwanadamu ni maji kwa asilimia 70% ambayo ndio inasaidia mwili Wake ufanye kazi kihasaha,wakati cell ya ubongo wa binadamu una maji kwa asilimia 85%,damu inakiasi cha maji kwa asilimia 82%,muscles inatumia maji asilimia 75% wakati mifupa inamaji asilimia 25%.Mpaka hapo inaonyesha maji ni muhimu sana kwa mwili wa binadamu .
 
Umuhimu wa kunywa maji asubuhi kabla ujaingiza chochote tumboni.

Unatakiwa kunywa maji pale uamkapo ukiwa ujakula chochote,itakusaidia kusafisha mfumo wako wa mmeng’enyo (internal system) kwa urahisi. Itatoa uchafu na sumu kwenye Colon ulizozila kupitia vyakula tofauti tofauti .Faida nyinginezo ni
 
Kungarisha ngozi.

Renew cells.

Kusafishwa kwa colon na kufanya unyonywaji wa virutubisho kuwa rahisi.

Inatibu magongwa na maradhi .Unywaji wa maji asubuhi pale uamkapo inakusaidia kutibu maradhi kama matatizo ya ini,TB,kuhara,cancer,matatizo ya macho,maumivu ya kichwa,stress,uti wa mgongo.

Hupunguza uzito.
 
Kunywa maji pale uamkapo liters 1.5 ( glas 5-6),epuka kunywa kinywaji kingine chochote au kula kabla na baaya ya kunywa maji ,usinywe pombe baada ya siku 2 ndio unedele na kunywa maji yako kila asubuhi .Mwanzo itakuwa ngumu sana kunywa glas 6 kwa pamoja unachotakiwa kunywa 4 pumzika kidogo kunywa izo 2 zilizobakia.Utafanya hivyo baada ya siku 3 utombo utaozoea na utakunywa kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom