Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
We si ilinikimbia?subiri alete maua uone ntakavyo yapokea[emoji57][emoji57]Usinune kipenzi nilikua naona strength yako kila akirusha kombola unapangua. Wewe ni mwanamke wa kweli umemkomesha kisawasawa
Nilikuja baada ya kuniacha mwenyewe humuPia niliona umekuja nitafuta mpaka kwa mabundi kule.
Gudi moningi wifi[emoji23] [emoji23] jasiri aachi asili.... nipo kote kote ila nimebase kwa mzee
We si ilinikimbia?subiri alete maua uone ntakavyo yapokea[emoji57][emoji57]
Mwache tu apate presha kwanza ili akome kunikimbia[emoji38]Hhahahaaa asubuh asubuh unataka kumpa presha cole