HahahaYule shemeji yangu bana, hatulagi! Mzee wa liver is ma bro from another moma! [emoji23][emoji23]
Poti potiIla leo najisikia kukuletea maua aisee! Vepe, walugaluga weshaondoka humu au wamebana kona wanachunga mizigo yao? [emoji23][emoji23]
Salama kabisa rafikiMmeamka salama?
DuMke wa mwenzio usimuonee wivu, we mchunge nsamaka tu carba achana naye hakuhusu. Usijifanye kumuonea wivu kumbe unatafuta kiki za kupora wake za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]