Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

skydiving-658405_960_720.jpg
 
4. Madeni Huzuia Sound Pollution. Yaani Hata Kama Umelewa Na Ulikuwa Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Tu Unanyamaza Automatic Na Hata Ukifika nyumbani Pia Majirani Zako Wanapumua Maana Huwashi Kile Ki - Sabuufa Chako Pasua kichwa.. ​
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom