ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
AQUA
Hahahahaha5. Kupungua Ama Kuzorota Ķwa Kitambi, Anayekudai Akikusakama Sana Nayo Sometimes Inapelekea Kuyeyuka Kwa Mafuta Yazungukayo Tumbo Hivyo Kiafya Unatengemaa..
Aha wapiTukope jamani kudumisha afya zetu
Good morning mkuu
Vaisi Chea Mnoko yupo anakuchechi huku kakunja ndita balaa...
Ukiendelea kukaa mbali na bebi wangu...
Utaishi kwa raha sana katika uzi huu...
Ukuda, unoko na urugaruga wangu kamwe hutauona....
Vinginevyo utaendelea kuishi hivi hivi ka digi digi...