Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

marines-2674095_960_720.jpg
 
Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya haiaminiki. Kwanza wamekataa kuwasilisha vielelezo muhimu vya ujumuishaji wa kura mahakamani. Na hiyo ni moja kati ya sababu zilizopelekea mahakama kutengua matokeo. Lakini bado ni watu wale wale wanaotakiwa kusimamia uchaguzi huo. Hii nchi wanakoelekea kuna Giza. Tusubiri tuone
Hatari sana
 
Back
Top Bottom