Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

pt-91-2508154_960_720.jpg
 
Sharti ABONG'OE[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ainame
 
Heshima yake itarudi tena.

Ujue kule Championship kugumu sana.

Lakini angalia Newcastle imeshuka Daraja Msimu mmoja kisha Msimu uliofuata wamerudi tena Ligi Kuu.

Kina Blackburn Rovers si unaona shughuli ilivyo pevu wanashindwa kurudi Ligi Kuu, na ndio kwanza wamedidimia zaidi wanapigania kupanda Championship, kutokea League one.

Natamani sana Sunderland nao warudi Ligi Kuu.

Kule Championship kugumu sana, Sunderland asipojikaza itachukua muda sana kurudi Ligi Kuu
Kweli mkuu
Lilikuwa kosa kubwa sana kumuacha Benitez kuondoka Liverpool
 
Back
Top Bottom