moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hiyo safi, lazima uonyeshe kama umefuzu kwa haki![]()
Baada ya kutoka China, naendelea na tizi hapa
Hiyo safi, lazima uonyeshe kama umefuzu kwa haki![]()
Baada ya kutoka China, naendelea na tizi hapa
03:2922:47
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kanatingisha kuona kama ngome ni imara. Kakihisi kuna kaupenyo tu samuwhea hakoo kanatoa ofa ya mafuta ya upako. Hovyo kabisa !!!
Kiongozi.Liver this season majanga labda dirisha dogo tufanye kitu cha maana klop hovyo sana
Katika uzi huu simwamini mtu aisee. Kwema lakini?Acha uoga mwanakoromije, unadhani kila mmoja anavizia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
24x7 tunakimbiza22:57 wanga wamelala saa hizi wanasubiri muda wao wa kufanya yao.
Hoja za nzito, muafaka utakuwa mgumu. China tayari imeshaelemewa na watu hata kabla ya vitaWachina hawatakubali. Wakimbizi wengi watakwenda kwao na N. Korea pekee ndicho kielelezo cha Ukomunisti kilichobakia. Mgogoro huu una sababu nyingi zilizoingiliana. Ndiyo maana hauna suluhisho rahisi !!!
03:4223:08
AMUN RA