Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-21-22-11-50.png
 
Goli la pili la MBAO FC..

Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]
Karibu bro. Naona umekuja kivingine. Huu uzi huu nyie acheni tu !!!
 
Back
Top Bottom