Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeona. Nikapotezea. Niliamua kufuatilia mahari kwanza. Nitaongea na mkewe amrekebishe !!!Duu unawatukana wasukuma hawajui kunywa supu lakini binti yao unamtaka, wee dogo acha matusi[emoji3] [emoji3] [emoji3] SHIMBA YA BUYENZE jionee mwenyewe[emoji3] [emoji3]