moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poa, karibu tena memba wengi mmepungua hapa, tumewamiss sana sanaWapenzi, nawapenda ila mwili wakataa tuombeane uzima...kesho!!!!
Poa, karibu tena memba wengi mmepungua hapa, tumewamiss sana sanaWapenzi, nawapenda ila mwili wakataa tuombeane uzima...kesho!!!!
Nahisi atakuwa mzimaHivi Baba V hajambo
Akuuu sihitaji huduma yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa... Nimepiga yote hayo, komunio sijui Kipaimara, mambo ya utumikiaji ndio nilikuwa mwenyewe! Kwa hiyo ninauzoefu sana wa haya mambo, kama utahitaji huduma we nistue tu! Taratibu lakini maana yule jamaa akistukia anaweza kuniibukia usiku na fisi! [emoji23][emoji51]
Hahahhahahhah[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ila unapoenda kugusa utapotezwa veri suuni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh!Umenikumbusha nchi fulani nilipokuwa nasoma yalinikuta hayo
Yaani siku hizi unavyojua kutorokaWakuu wakuu
Gospo wamefanya njia ya kutokea. Hata haka Kakerewe kenzio nako naona kameibukia kwenye gospo baada ya mambo mengine kukwama. Gospo inadhihakiwa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mzee wa gospo
Duu unawatukana wasukuma hawajui kunywa supu lakini binti yao unamtaka, wee dogo acha matusi[emoji3] [emoji3] [emoji3] SHIMBA YA BUYENZE jionee mwenyewe[emoji3] [emoji3]Karibuni sana. Kwakuwa nyie hamjuii kunywa supu naomba mje wengi nina mbuzi 6 wa supu siku ya kuchukua mahari
Hapo sasaAkuuu sihitaji huduma yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hongera sana yegp unayaishi mafundisho lakini au ndo yaliishia miaka ya 2010
HahahhaaMabinti kaeni mbali. Acheni mijibaba ndo imtag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha angalia faida mkuuHovyo sana huyu. Alikuwa anawaza nini kuanzisha Calculus? For what?
Zizi langu imara shemeji. Electric fence kabisa tena live 24/7 kila anayegusa shock yake kali akija kurudi anahubiri gospo. Ajabu sana !!!Afadhali maana....
Wala sina shida kuonea hapa naona live kwa Babe SMajukwaa haya uwepo wako ni mpaka saa 12 jioni, kuanzia hapo hufunguliwa picha za aina hii. UMRI WAKO HAURUHUSU KUONA VITU KAMA HIVIPicha kama hizi za kikubwa wewe hazikuhusu![]()
YapBaada ya mifuko ya plastiki kupigwa marufuku !!!
Moto wa kuotea mbaliThread hii moto
Hahaha safi sana ShemejiZizi langu imara shemeji. Electric fence kabisa tena live 24/7 kila anayegusa shock yake kali akija kurudi anahubiri gospo. Ajabu sana !!!
Mi mzima, ila daa nyi wasukuma kwakweli....[emoji3]Ulivochekelea....mzima lakini!?