Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeye anapeleka mahubiri yake feki everewhea siyo kwa Bebi S pekee. Mabinti wote humu keshamaliza. Naona amerithi mikoba ya KK yule wa mwanzo siyo huyu wa sasa ambaye angalau kidogo kabadilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaah. Nadhani ingekuwa busara angemuita Mchina aongee nae amueleze yalio mkuta
 
Screenshot_2017-09-21-21-56-42.png
 
Naelewa Yegoo.... mafundisho ya dini yenyewe ulikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]

Hahaa... Nimepiga yote hayo, komunio sijui Kipaimara, mambo ya utumikiaji ndio nilikuwa mwenyewe! Kwa hiyo ninauzoefu sana wa haya mambo, kama utahitaji huduma we nistue tu! Taratibu lakini maana yule jamaa akistukia anaweza kuniibukia usiku na fisi! [emoji23][emoji51]
 
Back
Top Bottom