mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapTukiposti na Ku 'likes posti za wengine..
YapTukiposti na Ku 'likes posti za wengine..
Mkuu MkuuUmesemaa[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala "konokono" [emoji23] [emoji23] [emoji23] yu no zem veri welo eee
Naona umekuja na mashairi yako ya zamani. Mkuu kuwa makiniTunakupenda pia, mpenzi! Uwe na usiku mwema na njozi njema! [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu urudi mida ya wanga kwa mwamvuli wa Kichwa kichafuJamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi leo tutaondoka wote,ukitaka kuondoka tu niambie nikufuate nyuma[emoji23][emoji23]
Dogo naona anatafuta kuishia alipoishia Ho Chi MinhYegooooo....
Na katawamaliza hako,kana gia za utapeli tapeliiiii
Huwa vinaongezaga ha...Ni kweli,huwa naogopa kula vitu ambavyosijawahi kula nisije ha.....bure[emoji23][emoji23]
Hahahahahaidhaa ya kiswahili BBC Wanatupa shida kweli![]()
Acha tuu imsumbue kwakweliHahaa... Huyu jamaa Bush W hatamsahau, alimwita mbaguzi yaani hiyo kitu bado inamsumbua sana G W!
Aisee [emoji134] [emoji134] [emoji134]Halafu ukiitwa mligaluga unarusha ngumi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata buku naona inafikaKwa sasa una notification ngapi kwa siku?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mlokole ni mbabe kweli kweli[emoji3] [emoji3] haaminiki wala hashaurikiNilikwambia. Sasa hiyo ni lugha ya mtu aliyeokoka kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niamini tuu shemejiHapo ni ngumu saaana kuaminika wewe,hela na jakitoo,jakitoo na SYB,SYB na misambwazzz...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
21:4618:50