mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu mbona ujamaliziaBasha siyo ******
Mkuu mbona ujamaliziaBasha siyo ******
Duuh!na kweli aisee
mana hii stori jamaa angu kaniletea ikabidi ninywe maji kwanza
Mbona waalikwa wote wanawake....
Afadhali umeshtuka hujakaalika ka Jakitoo kangu karembo kamalaika. Wangekuona kesho kwenye tiviii dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RATuko pamoja mpendwa wangu...
Mwelewa mwema....
Mpenda matani...
Mwenye moyo mweupe....
Mcheshi....
Usiye na makuu...
Mwenye kujali.....
Binadamu halisi......
Nakuheshimu sana Carba.....
Unasema!!!!!!!Fumanizi siyo ugoni
Weeeeee!!nuache kabisaNatoa huduma ya maombezi leo saa nne usiku hapa mtaani kwangu! Nawaalika,
nsamaka, Numbisa, carbamazepine, babe S na wengineo! Sijakaalika ka jakitoo hapa maana kale du, ni kwenda nako mdogo mdogo mpaka kastuke, tayari kanakuwa kanafurukutia chini ya mvungu wa gari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kilimanjaro bandNJENJE WE NJENJE NA KIPARA MOTO NJENJE
Ukiambiwa ni muhenga utasema umesoma vitabuni!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Andaeitini wa zama za nyumaHahaa, nyinyi ndio mlikuwa mnaruka ukuta? Mnapanda watu kama ishirini hivi, mkishakaa juu ya ukuta mnahesabu moja mpaka tatu halafu wote mnarukia ndani ya uwanja kwa pamoja! Humo ndani sasa, kila mtu anakimbia kivyake! [emoji23][emoji23][emoji23]
HatariDuuh!
Ninavyosingiziwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mjadala umeanzisha wewe
Shikamoo unataka akunyime nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nzuri,MARAHABAAAA mdogo wangu(najishtukia hapa maana waweza kua unanizidi umri?)
![]()
Nakuona unavyojifariji[emoji57]
Yegooooo....Tunakupenda pia, mpenzi! Uwe na usiku mwema na njozi njema! [emoji23][emoji23][emoji23]
Halina ubaniLa kuvunda
Hata wewe tunakufananishaMnafamiana humu eeh...!
Ngastuka
Kabisautu na upendo wetu
Huu mualiko huuNatoa huduma ya maombezi leo saa nne usiku hapa mtaani kwangu! Nawaalika,
nsamaka, Numbisa, carbamazepine, babe S na wengineo! Sijakaalika ka jakitoo hapa maana kale du, ni kwenda nako mdogo mdogo mpaka kastuke, tayari kanakuwa kanafurukutia chini ya mvungu wa gari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Ila huyu ni mzuri kuliko vMdogo wake ila kama mapacha