Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza lile "kubong'oa" liliishaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Natoa huduma ya maombezi leo saa nne usiku hapa mtaani kwangu! Nawaalika,
nsamaka, Numbisa, carbamazepine, babe S na wengineo! Sijakaalika ka jakitoo hapa maana kale du, ni kwenda nako mdogo mdogo mpaka kastuke, tayari kanakuwa kanafurukutia chini ya mvungu wa gari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mbona waalikwa wote wanawake....

Afadhali umeshtuka hujakaalika ka Jakitoo kangu karembo kamalaika. Wangekuona kesho kwenye tiviii dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom