Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Natoa huduma ya maombezi leo saa nne usiku hapa mtaani kwangu! Nawaalika,
nsamaka, Numbisa, carbamazepine, babe S na wengineo! Sijakaalika ka jakitoo hapa maana kale du, ni kwenda nako mdogo mdogo mpaka kastuke, tayari kanakuwa kanafurukutia chini ya mvungu wa gari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nakuona unavyojifariji[emoji57]