Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Andjul. Mzee Ruta kakutumia salamu ila kazificha kwenye SPOILER....
Eti ni kutoka Tukuyu laivu !!!
Andjul. Mzee Ruta kakutumia salamu ila kazificha kwenye SPOILER....
Gr8 mkuuMzee wa liver heshima yako
Anataka kufia madarakaniUkomo wa umri wamnyima Museveni usingizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtu mbaya sana[emoji3] CHAZA unawaita konokono[emoji3] [emoji3]usiharibu majina ya vyakula vyetu weye.[emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] misamaki ya pwani isha kuharibu wewe.
Aende tuMiaka 75 ndiyo mzozo wa kikatiba Uganda
Ufala si uchwara !!!
Yap mkuu well saidNchi nyingi masikini mabadiliko ya kikatiba ni kuwanufaisha viongozi wa kitaifa
Baada ya mifuko ya plastiki kupigwa marufuku !!!Kenya
Jino kwa jinoNgangari
Shemeji,yaani unamaanisha kutunza hela?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji120] [emoji120] [emoji120] natambua uwepo wenu wakuu
Naombeni utunza hazina[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Likes zinepungua, mwanzo zilikuwa likes za mvuaLikes za hapa zina bei, mtafute myoyambendi au mzee wa liver wakupe thamani ya likes za hapa
Hizi gharama wangetumia kuwatafuta wasiojulikana ingekuwa poa