Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pole ndugu. Apumzike salama aliyetutangulia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nilifiwa,
Pole ndugu. Apumzike salama aliyetutangulia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nilifiwa,
ShemejiiGoli la pili la MBAO FC..
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]
YapLike kwa like tu
Majukumu mkuuSafi , ulipotea kwa muda hapa
Ongeza kasi kijana[emoji23][emoji23]Sikujua, kumbe nimegusa penyewe! Haya maji hata kama yana kina cha ugoko lazima niyapime! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Maombezi ya usiku ndio mazuriMaombezi ni wakati wowote! We nae! [emoji23][emoji23]
See you distract me,
But I'm distracted without you.
I don't know how to focus,
Baby, teach me how to.
'Cause I'm standing still again
But if you love me
Just like the way that I love you
I wouldn't mind
A little comforting from you.
Why do I let you in my head?
And I gotta go sometimes,
But you're always on my mind.[emoji445][emoji445][emoji445]
Pole sanaNilifiwa,
Hey shemeji uko powa.Shemejii
Nimemaliza MkuuDuuu, pole lakini safi sana hiyo
YuaIf this was a love song
and I told you
to be with me
until we grow old would you?
Would you wait? Could you stay?
Could I have your hand to hold?
But I don't have a love song
and I'm sorry
I wish I didn't have to be far
we grew apart, I'm stuck in the dark
oh and when you left you took the stars[emoji445][emoji445]
Angalia wanavyo kuchombeza, nadhani wanatabiri kitakacho kutokeaSikujua, kumbe nimegusa penyewe! Haya maji hata kama yana kina cha ugoko lazima niyapime! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Siku atakayovamia zizi lako uje useme hivyo hivyo"that's my boy"[emoji41][emoji41][emoji41]Hahahahaha that my boy
Anampenda sana mumewe mpaka kaamua kuwa chasaka. Unajua ni mapenzi ya aina gani yanaweza kumfanya binti wa Kichaga kujivika uchasaka? Wewe inakuhusu nini? Mbona kama umekomalia hii ishu kiaina? Puliizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmachame kawa msukuma[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Deni lipi tena?Lile deni la kk Cole analijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]