Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Weee!tuanze na wewe kwanza
Halafu inabidi nianze na wewe! Una kamda hapo tulianzishe? [emoji23][emoji23]
Weee!tuanze na wewe kwanza
Kha! Kwani lazima kusafiri?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simo, ni wewe na wakwe zako mtajuanaHuo ndio ukweli nilisha enda kijiji kimoja SHY nikapika supu walikunywa sana wakasena wao huwa hawanywi mchuzi.
Fanya hivyo please. Upendo wa Mungu ukufumbate !!!Usingizi umekata shem
Ila acha nijaribu kulala tena
Umemuona huyo, kategesha post zake karudi MMU anasikilizia likesWewe mbona utoi likes mkuu
Upo mamndenyi, habari yakoUzi ulipotea
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Fanya hivyo please. Upendo wa Mungu ukufumbate !!!
Asante banaMlale salama
Pole dadaNilifiwa,
Ooh, poleHuko network hakuna
Naona unashindana na mista vaisi cheamani wa CHAUMITA
Acha uoga mwanakoromije, unadhani kila mmoja anavizia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anampenda sana mumewe mpaka kaamua kuwa chasaka. Unajua ni mapenzi ya aina gani yanaweza kumfanya binti wa Kichaga kujivika uchasaka? Wewe inakuhusu nini? Mbona kama umekomalia hii ishu kiaina? Puliizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]