Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

soldiers-2679104_960_720.jpg
MKUU SIO VIBAYA UKIWEKA POSTI PIA NA LIKES KWA WENGINE
 
You never know! Inabidi tu uwe muwazi wote wakuelewe! Unaweza kustukia mtu amekununia hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nina uhakika hakuna anae chukulia serious zaidi ya Upendo.
Kwangu mimi ni sehemu nikiwa sijaingia najisikia vibaya. Humu nimepata Kaka wengi na Dada wengi. Wapo ninao wajua kabisa na nisio wajua.
 
Kama vile namuona. Atasema Nissan Patrol...

Halafu yule si ajabu huwa anaangalia makusudi, anajikamatisha halafu anautumia huo mwanya kujipatia "konokono" kwa urahisi. Mzee mjanja sana yule. Nshamshtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom