Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hahahaha
nikuache ufanyie watu maombi
Nakubaliana nawe, lakini hatashuka malaika kuja kuziweka kwenye mstari, wala mataifa ya kigeni hayawezi kutusaidia kwa 100% ni sisi wenyewe tunaoweza kujiweka kwenye eneo sahihi ili kulinda haki za kuchagua za watu wetuSiasa (za Afrika) ni pasua kichwa !!!
Jembe hilokazi kazi
Watu wasiojulikana wapoNa watu wasiojulikana au
Wachezaji wa hivi kipindi hiki tulichonacho hawaonekanianapiga shuti akiwa kibamba na linafika kariakoo kwa spidi kubwa
Wanapaswa kutenda haki kuepusha mapiganoWafanye yooooooteeeee ila wasipigane tu. Uchwaraaaaa !!!
Kuna mtu mmoja huko anadai siku hizi likes zimepungua hapaGood answer. Mtu mgeni analalamikia likes?
Teh teh teh mzee wa tukuyu anavamia mdogo mdogo, SHIMBA umemuona huyo.Weeeeeee Shindwaaa!!!!
usingizi hauwezi kukata, hata ukikata naenda kwa SYB wangu huku siji ng'oooo
Noma sana umetishaGoli la pili la MBAO FC..
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]