Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mida yenyewe ndo hii....CHAUMITA
102b97f1a009b02360a6b8682294a516.jpg
 
Lazima wapewe muda zaidi wasivulunde tena
Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya haiaminiki. Kwanza wamekataa kuwasilisha vielelezo muhimu vya ujumuishaji wa kura mahakamani. Na hiyo ni moja kati ya sababu zilizopelekea mahakama kutengua matokeo. Lakini bado ni watu wale wale wanaotakiwa kusimamia uchaguzi huo. Hii nchi wanakoelekea kuna Giza. Tusubiri tuone
 
Siasa (za Afrika) ni pasua kichwa !!!
 
Back
Top Bottom