mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ndio muda Siku inaanzaMbona mapema?
Ndio muda Siku inaanzaMbona mapema?
MariaWhitney Houston and maraya Keri. WHEN YOU BELIEVE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wadogo mkalale mida ya kubwa hii
Kakosea nini huyo bishololo Kanye ambaye anajifanya mgumu,Huyu Kanye West ananiboa huyu
Hahahahah mambo ya PwaniShemeji haiwezekani kila siku iwe ni sato tu, ni lazima ubadirishe. Ndiyo maana maeneo ya huku aina yote ya samaki ni chakula halali kwetu. Haijalishi akiwa nchi kavu awe jongoo, kipepeo, balale, ngadu,Kobe nk .Akitoka bahari ni anapata jina tofauti na hivyo huliwa tu
Teh teh teh tehUnasema!!!!!!!
Aaaaah,nenda ukatolewe mapepo weye[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwambie kk akupeleke kisha akurudisheWeeeeee!!nuache kabisa
Maombezi gani hayo ya saa4 usiku?
Kwanza Cole hawezi kubali na hata akikubali siwezi kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Maombezi sa4 usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]