Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ddfb47d4d346b706003706074b119284.jpg
Hahaha
 
Hapana shemeji ntapapambana na sato kwakweli
Shemeji haiwezekani kila siku iwe ni sato tu, ni lazima ubadirishe. Ndiyo maana maeneo ya huku aina yote ya samaki ni chakula halali kwetu. Haijalishi akiwa nchi kavu awe jongoo, kipepeo, balale, ngadu,Kobe nk .Akitoka bahari ni anapata jina tofauti na hivyo huliwa tu
 
Back
Top Bottom