mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha wewe unasema nani avamie zizi langu[emoji23][emoji23][emoji23]nasubiri tu vile utakavyotekwa
Hahaha wewe unasema nani avamie zizi langu[emoji23][emoji23][emoji23]nasubiri tu vile utakavyotekwa
Ugali wa muhogo kwa peregekinategemeana na makabila
sijui kitaifa chakula pendwa ni kipi mtu wangu
nahisi ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amuulize Mchina. Mpaka leo hayuko sawa. Na kagoma kabisa kusema kilichompata. Shemeji yangu yule hana mchezo !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naona mnapambana vijana[emoji38][emoji38]
23:2222:57 wanga wamelala saa hizi wanasubiri muda wao wa kufanya yao.
Shaka ondoa kipenzi changu I give you my All.[emoji1][emoji1][emoji1]nibakishie na mimi
Mbona za kwako sioniTeam messi nione like zenu hapa.