[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] sote tunaonekana malofa hapa[emoji120] [emoji120] [emoji120] hatuwezi kusema mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una pepo la ubuyu, yego analimudu hilo
HahahhaAsee bora ulivyokumbuka namba zako maana tumeshazisahau
Napita bila comments [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbowe na YMCA kote kote nilivuruga. lakini pamoja na undugu wetu, michezo yako sikubaliani nayo hasa unapo mfuatilia nsamaka. Ukitaka nikupe sapot kwa lolote usign mkataba kutomfuatilia nsamaka, kwamba kila utakapomuona umuheshimu kwa niaba yangu. Na pia unisaidie kwenye harakati zangu za kumuondoa tukuyu kumleta dar, ukiyakubali hayo mi nitakusaidia lolote hapa