Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisikia kizunguzungu,maumivu ya kichwa na kuvimba kwa mikono au miguu wahi hospital iyo ni dalili ya kifafa cha uzazi.



:Chupa ya maji ikipasuka kabla ya uchungu au dalili yoyote ya kujifungua usikae nyumbani zaidi ya masaa 5-6,
 
mtoto atakuwa kwenye hatari ya kupata infection kupitia njia ya uzazi au kitovu kuhamishwa toka sehemu husika na kushindwa kumpelekea mtoto hewa ,ikamsababishia kifo au matatizo ya ubongo wahi kituo cha afya.
 
Vifo vya gafla kwa watoto wachanga imekuwa ni ngumu kwa wazazi kujua nini ni chanzo chake.Kwenye jamii zetu za kiafrika watu wengi huusisha vifo vya watoto na mambo ya ushirikina pale mtoto anapofariki bila kuumwa haswa akiwa usingizini ,sababu wengi hawana elimu ya kutosha juu ya vifo vya gafla. Takwimu inaonyesha watoto wakiume ndio wanaadhiriwa sana kuliko watoto wa kike.
 
Kifo cha gafla kiitalamu huitwa Suddenly Infant Death syndrome ( SIDS) au (Crib death) kinatokea kwa watoto wenye umri 0 mpaka mwaka 1 hutokea pindi wakiwa wamelala .Vifo vingi huwapata sana watoto wenye umri wa 0 mpaka miezi sita na kiasi kidogo kwa wamiezi 6-12.Chanzo chake haijajulikana moja kwa moja ila kunavitu vinavyochochoea kwa kiasi kikubwa,
 
Kulamza kwa tumbo- ni hatari sababu upumuaji wake unakuwa watabu ukiangalia hizo picha 2 tofauti anaweza pata hera vizuri akilalia mgongo ni rahisi kwa Trachae kupitisha hewa kwa urahisi tofauti na akilalia tumbo .
 
Kulamza kwa tumbo- ni hatari sababu upumuaji wake unakuwa watabu ukiangalia hizo picha 2 tofauti anaweza pata hera vizuri akilalia mgongo ni rahisi kwa Trachae kupitisha hewa kwa urahisi tofauti na akilalia tumbo .
 
NJIA ZA KUEPUKA KIFO CHA GAFLA
:Mlaze mtoto kwa mgongo-usimlaze ubavu au tumbo sababu position ya kumlazia tumbo inamfanya apate hewa ya oxygen kwa kiasi kidogo inasababisha hewa ishindwe kusafirishwa kwenye ubongo ndio hapo inakuwa rahisi kufariki kwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…