Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
Ni kweli wewe ni ndugu yangu tumekuwa wote ukubwani,neno unalolitumia kwake la "mpenzi" lina ukakasi...Mbona mi ni ndugu, jirani na rafiki yako lakini hutaki niwe karibu na nsamaka. acha maneno ya ujanja ujanja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naisubiria kwa hamu hiyo siku,naanza kuandaa maziwa ya mtindi kuanzia sasaAsante shemeji tutakuja kukusalimu siku moja[emoji5] [emoji5]
Hata kama ni ndogoZawadi ni zawadi