Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Just sing with full of inspiration.
- [emoji228]
- [emoji228]
Safi kabisa,karibu Kibamba.Katibu wangu kesha nielewa nilicho kuwazia...Uwiii mueleze SYB [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama kabisa shemeji weekend inanukianukia hapa naisubiri tu... habari ya wewe?
Mbona mi ni ndugu, jirani na rafiki yako lakini hutaki niwe karibu na nsamaka. acha maneno ya ujanja ujanja[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wee mzee jiangalie sana,haujui uhusiano wangu na Cole? Nimpole carba ili iweje sasa?
Nipo hapa kumlinda asirubuniwe na nyie waharibifu,carba ni mvumilivu sana ila pia ni binadamu.Acheni kumshawishi,ipielo ikiisha (hata sijui inaisha lini Mungu wangu) Cole atarudi waendeleze libeneke... Kaa mbali na carba fo yua ouni riski...
Habari ya ijumaa mkuuHazigandi kiongozi
Asante shemeji tutakuja kukusalimu siku moja[emoji5] [emoji5]Safi kabisa,karibu Kibamba.Katibu wangu kesha nielewa nilicho kuwazia...
Nilienda kufanya albadir kidogoMkuu za chembe habari yako, ulipotea humu