andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku hazigandiUle ukuta, hasa hasa upande wa kusini na mashariki mwa uwanja nimeurukia mara kibao. Kipindi kile kulipa kiingilio ilikuwa ni ushamba uliopitiliza[emoji3] [emoji3]