definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Likes zitembee ugomvi. Hauna nafasi.
nini ichi jakito..
Nimepita ni matapel.Mkimaliza kupeana likes naomba mpitie hapa basi Viewing payed advertising sites vbmoney.site - Welcome!
Jakitoo huku natoa like kwaku. Huku na kwambia nakupenda...
Utapigwa kamandaMkimaliza kupeana likes naomba mpitie hapa basi Viewing payed advertising sites vbmoney.site - Welcome!
like tuu mkuuNini
nini ichi jakito..
Vaisi Chea Mnoko yupo anakuchechi huku kakunja ndita balaa...
Ukiendelea kukaa mbali na bebi wangu...
Utaishi kwa raha sana katika uzi huu...
Ukuda, unoko na urugaruga wangu kamwe hutauona....
Vinginevyo utaendelea kuishi hivi hivi ka digi digi...
Ila na wewe ni kaongooo,ikifika saa nane utakuwa nae hapa...
Ila leo najisikia kukuletea maua aisee! Vepe, walugaluga weshaondoka humu au wamebana kona wanachunga mizigo yao? [emoji23][emoji23]
Mke wa mwenzio usimuonee wivu, we mchunge nsamaka tu carba achana naye hakuhusu. Usijifanye kumuonea wivu kumbe unatafuta kiki za kupora wake za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
I am every where just a matter of time
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wamesepa wote[emoji23][emoji23]
Yes, na wasirudi kabisa! [emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri aamke huko aliko
Ila jiandae tu kesho[emoji23]
Tafuta kifutio, tukimaliza kuchat unafuta yote wasiyaone! Ila hisia zangu kama yule vaisi chea mnoko yupo kabana sehemu! [emoji23][emoji23]
We mtaje tu[emoji23][emoji23][emoji23]au nimuite
Cc:vaisi chea mani[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kausha bana! [emoji23][emoji23]
Nilisema mapema,utabaki nae humu,ukabisha weeee...Unaogopa eeh
Basi sawa mkuu maana hakuna namna ni likes tu.like tuu mkuu
Pole, maana siku nzima iliyopita huajaonekana humu.G'morning guys, I am fine japo nawamis sana.
Alhamdulillah naendelea vzr. Maumivu sasa yamepungua ila bado naendelea kupata matibabu na mazoezi ya viungo.
Nawatakia siku njema.
Njema, habariMwanga ulibaki pekeyako naona
Habari ya asubuhi rafiki