moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe ni ndugu yangu lakini umekataa masharti mepesi kama hayo..basi sawa, nami nitakuwa nasapot chochote kutegemea maslahi yangu yatakvyokuwa.[emoji3] [emoji3]Naomba tu niwe muungwana, hilo sharti ni gumu sana kulitekeleza! [emoji23][emoji23]