andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimejaribu kufiga auti gari limekushinda pale juu wakati wa kushuka.Ni salama zaidi kusafiri kwa miguu kuliko gariKha! Kwani lazima kusafiri?
Nimejaribu kufiga auti gari limekushinda pale juu wakati wa kushuka.Ni salama zaidi kusafiri kwa miguu kuliko gariKha! Kwani lazima kusafiri?
Unaanza kuingia taratibu kwa fake pasta[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]sitakiiiiii ila ukileta kapukeki napokea [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hee usijejisahau ukatumia ya ng'ombe
Mipira iliyokufa (loose ball) inakudondokea[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hizo ndio tunaita, golden chance! Hapana fanya mchezo ukishaingia ndani ya kumi na nane! [emoji23][emoji23]
Njema habari yakoMkuu mkuu
Good morning
[emoji113] [emoji113]Jongoo nimekula sana mkuu
Kumbe na wewe ulishajaza na fomu kabisa ya kujisajilisha kwenye familia yangu? Hata wewe moud!!!Mbowe na YMCA kote kote nilivuruga. lakini pamoja na undugu wetu, michezo yako sikubaliani nayo hasa unapo mfuatilia nsamaka. Ukitaka nikupe sapot kwa lolote usign mkataba kutomfuatilia nsamaka, kwamba kila utakapomuona umuheshimu kwa niaba yangu. Na pia unisaidie kwenye harakati zangu za kumuondoa tukuyu kumleta dar, ukiyakubali hayo mi nitakusaidia lolote hapa
Msalimie mrembo nsamakaOna sasa!!!
Nipo mkuu.Kwema, siku hizi hutulii hapa ni mwendo wa kurukaruka. Tatizo ninl nini?
Naona huchezi mbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante eeh!!!
Niaje mkuu,nina shida na wewe sana...Mzee wa fitina na figisu kama tff habari yako
ho chi minh amekusikia hapaEpuka matumizi ya sigara ndani ya nyumba au sehemu aliopo mtoto
ho chi minh nahisi amesikia hapaSigara -uvutaji wa sigara ndani ya nyumba au eneo alilopo mtoto ni hatari mapafu yake hayaja komaa kupokea moshi mkali wenye sumu(NICOTINE) na kumuadhiri kwa haraka.
Kuna usalama lakiniNiaje mkuu,nina shida na wewe sana...
"Hebu sogeza ...lako hukoo,ukizingua nakuchoma popote ujue??? Usiniletee za kuleta,inamaaa...litingishe linanihii lako uvunje sindano.Haya,mara ya mwisho ulioga lini?" Nawaza tu...Ntakavyokutibu huku nimenuna sasa[emoji2][emoji2][emoji2]