Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wageni utawajua tu. Unafika mahali hata hujawajua wenyeji sawa sawa ushaanza kutongoza. Unamjuaje Jakitoo mpaka umpende?Jakitoo huku natoa like kwaku. Huku na kwambia nakupenda...
Wageni utawajua tu. Unafika mahali hata hujawajua wenyeji sawa sawa ushaanza kutongoza. Unamjuaje Jakitoo mpaka umpende?Jakitoo huku natoa like kwaku. Huku na kwambia nakupenda...
Asante sana Jakitoo wangu....![]()
SHIMBA YA BUYENZE
[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Sijambo moudy,za ijumaa?Hujambo bibie
Mwenyekitiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!!!!!!Hata hautumii nguvu nyingi...kama usukani wa scania unavyolizungusha lori lote na likontena juuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ai emu shua ubuyu uko pale pale !!!Watu wakorea naona hawali bata kama tz et
Yaan nchi watu wanawaza mabomu tuu
Hakuna umbea
Ifike mahali tupunguze kujidharau bana.Wakati wa tz 98% ni wambea si ke wa me [emoji23][emoji23][emoji23]
Manesi bana. Tena ukute siku hiyi kagombana na mpenzi wake au kasutwa huko mtaani aisee utamkumbuka !!!"Hebu sogeza ...lako hukoo,ukizingua nakuchoma popote ujue??? Usiniletee za kuleta,inamaaa...litingishe linanihii lako uvunje sindano.Haya,mara ya mwisho ulioga lini?" Nawaza tu...