Kila shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaaaggr!!sijichoshi mie[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Ukitaka utasema[emoji6][emoji6]
Na mganga wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunguli zake[emoji23][emoji23][emoji23]Nisipokuchosha kuna mwingine naweza kumchosha.
Kila shetani na...... [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni shida. Na watu hatutaki kufanya kazi. Tunategemea miujiza ya Mungu ili kutoka kimaisha. Kumbe Mungu huyo huyo naye Anachukia uvivu.Dunia inaelekea ukingoni na vile binadamu tumekuwa desparate na miujiza basi tunaingia kichwa kichwa tu kwa watu kama hawa.
Mungu atusaidie tu kwakweli.
Habari ya leo lakin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daktari leo vipi? Yu a kilingi mi tudei...Dah !!!katika kufundisha darasani mara paap.mwalimu kajamba..!!akaondoka uku akijifanya amekasirika ....alivorudi kesho yake akaulza.."KIPINDI KILICHOPITA TULIISHIA WAP..?? wanafunzi kwa pamoja wakasema "TULIISHIA PALE ULIPOJAMBA"
Oooooooh! Kuna Mnyarwanda mmoja namjua akiiona hii umekwisha. Povu lake ni mziki mzito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mtu akienda Rwanda Mara paaap tumbo likambana akanya huko Rwanda ndo tunamuita mnyarwanda au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daktari leo vipi? Yu a kilingi mi tudei...Dah !!!