Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Oooooooh! Kuna Mnyarwanda mmoja namjua akiiona hii umekwisha. Povu lake ni mziki mzito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yumo. Nikamuite? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kwan yupo humu?
Hapo hapo nani mganga na mchaw[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mganga wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrejesho wa forex basi[emoji6]
Huyu mchungaji si ajabu Gwajima huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa alienda kanisani ku confess makosa yake kwa mchungaji..
Jamaa: Mchungaji nimekuja ku confess dhambi zangu, nimelala nje ya ndoa na binti wa miaka 18 aliyekuwa bikira.
Mchungaji: Kata ndimu 10 ukamue kikombeni ... changanya na maji ya limau 10 humo kikombeni kisha unywe.
Jamaa: Hii ndio itaniondeshea dhambi zangu?
Mchungaji: Hapana... itaondoa hilo tabasamu lako hapo usoni kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunguli zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiiiii !!!Vita baridi ni nini?
Vita baridi ni pale ambapo we we na baba yako mnabishana kuhusu mpira yeye anasema Giroud mkali kuliko messi..halafu we we ukajisahau ukadhani upo kibandani unaropoka "msikieni huyu matako"
Somehow kweli nilikuwa nafuatilia...mh !!!JINSI YA KURUDISHA UPYA NGUO YAKO ILIYOCHAKAA AU KUPAUKA!!!
WATU wengi hukosa raha haswa pale nguo zao wanazozipenda zinapochakaa au kupauka;;
Fanya kama ifuatavyo
1:chemsha maji yachemke kwa (100C°)
2:weka nguo yako kisha iache ichemke ndani ya dakika50
3:itoe nguo yako!!
4:weka mafuta,kitunguu,nyanya na chumvi kidogo
5:chukua nguo yako,iweke na ukoroge kisha ufunikie!!
Ona unavyonifatilia kwa makini,kama nguo imepauka kanunue nyingine kwani madukani zimeisha??
ho chi minh alijifanya mvuvi kumbe fundi nguo.Siku ukizama ndani ya maji wakati unaogelea ndio utajua maana halisi ya
MAJI NI UHAI