Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Breaking News

Lazaro Nyarandu ameitwa kikaoni kujieleza kwanini amekwenda kumwona Lissu Nairobi

Kikao cha maadili cha ccm kimemwita siku ya jumatatu saa 4 asubuhi lumumba ofisi ndogo za ccm

Hii inakuja haraka kuwaizuia wale wabunge wa ccm ambao walikuwa wanajipanga kwenda Nairobi siku ya jumatatu kumjulia hali Tundu lissu

Ndani ya wabunge wa ccm kuna hofu kubwa baada ya kuibuka mabishano makali ya makundi mawili kuhusu Tundu lissu

1:Wanataka kwenda Nairobi kumwona Tundu Lissu

-Kundi hili linaongozwa na Hussein Bashe ambao awamejipanga jumatatu wafanye safari kwenda Nairobi

2:Kundi la pili wanaopinga wabunge wa ccm kwenda Nairobi kumwona Tundu lissu

-Kundi hili wengi wao ni wale waliokuwa wakimpinga Tundu Lissu wengi wakiwa Team Mzee

Mvutano huu umepelekea ccm kufanya haraka kumwita Nyarandu kikao cha maadili

Mzee Tupatupa wa Lumumba
 
7385415d5b24d84a2f2f92c6dfe1a324.jpg
Hahahahaha
 
Very shame
 
Back
Top Bottom