Mom kumbe wew ni SIMBA[emoji19] [emoji19] [emoji19]Yanga mkifungwa unidipu son
Kabisaa. Hata Hitler jamaa alikuwa mpole sana in private.Kila MTU ana uzuri wake
Ndivyo inavyopaswa kuwa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata kwenye mafamilia huko ndivyo ilivyo !!!