Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ni kweli, lakini kuna masaa 12+ - ya mchana na masaa 12-+ ya usiku.Tofauti ya mchana na usiku ni sekunde moja
Mimi nasikiliza kwenye redioNani anaangalia yanga?
Tuko fresh sanaHope mko fresh.
Uzi huu ni buffet mkuu. Unakula unachotaka. Ukipita kwa haraka haraka utafikiri ni mkusanyiko wa wahuni tu waliokusanyika kupiga soga na kupoteza muda. Kumbe kuna watu wa kila aina humu na kwa ujumla unaweza kupata karibu vionjo vyote vya JF humu. Heshima yake Jembekillo na nyote mliofanikisha uzi huu kuwa kama ulivyo !!!Nyuzi kibao ndani ya Uzi mmoja.Afya, Elimu, Michezo,Historia, Udaku, Nyepesi nyepesi, Mapenzi. Nk. ,
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana labda vichwa matope[emoji13][emoji13][emoji13]
Yanga mkifungwa unidipu sonMimi nasikiliza kwenye redio