Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji39][emoji39][emoji39]acha kunitega puliiiiziiView attachment 594205
Enjoy your weekend, everyone!
Hivi wewe ni mmoja kati ya wale memba wa futuhi eeh?Pili pili boga tatu.
Pili pili manga kikombe tatu cha kahawa.
Pili pili mbichi kumi na nane 18
Limau sita 6.
Chumvi nusu kijiko cha chai.
Masala nusu kikombe cha chai.
Blendi pamoja mpaka zichanganyike tumia vijiko viwili maratatu kwa siku kwa one week utazungumza kihindi
Hahah wala sioHivi wewe ni mmoja kati ya wale memba wa futuhi eeh?
[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daktari leo vipi? Yu a kilingi mi tudei...Dah !!!